Font Size
Ufunuo 6:14-16
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 6:14-16
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
14 Anga iligawanyika katikati na pande zote zikajiviringa kama kitabu.[a] Na kila mlima na kisiwa kiliondolewa mahali pake.
15 Kisha watu wote wa ulimwengu, wafalme, watawala, makamanda wa majeshi, matajiri, wenye mamlaka na nguvu, kila mtumwa na asiye mtumwa, walijificha katika mapango na nyuma ya miamba milimani. 16 Waliiambia milima na miamba, “Tuangukieni. Tuficheni mbali na uso wa yule aketiye kwenye kiti cha enzi. Tuficheni dhidi ya hasira ya Mwanakondoo!
Read full chapterFootnotes
- 6:14 kitabu Hapa inamaanisha hati ndefu ya kukunja kwa kuvingirisha (vitabu vilivyotumika zamani). Katika Biblia unapoona neno kitabu au vitabu, inamaanisha hati hizi.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International