Font Size
Ufunuo 8:6-8
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 8:6-8
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Sauti ya Tarumbeta ya Kwanza
6 Kisha malaika saba wenye tarumbeta walijiandaa kupuliza tarumbeta zao.
7 Malaika wa kwanza alipuliza tarumbeta yake. Mvua ya mawe na moto uliochanyanyikana na damu vilimwagwa chini duniani. Theluthi moja ya dunia na nyasi zote za kijani na theluthi ya miti vikaungua.
8 Malaika wa pili alipopuliza tarumbeta yake. Kitu fulani kilichoonekana kama mlima mkubwa unaowaka moto kilitupwa baharini. Na theluthi moja ya bahari ikawa damu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International