Font Size
Ufunuo 9:11-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Ufunuo 9:11-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
11 Walikuwa na mtawala, aliyekuwa malaika wa kuzimu. Jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni.[a] Na kwa Kiyunani ni Apolioni.[b]
12 Kitisho cha kwanza kimepita sasa. Bado vinakuja vitisho vingine viwili.
Mlio wa Tarumbeta ya Sita
13 Malaika wa sita alipopuliza tarumbeta yake, nilisikia sauti ikitoka katika pembe[c] zilizo katika pembe[d] nne za madhabahu ya dhahabu iliyo mbele za Mungu.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International