Add parallel Print Page Options

12 Kitisho cha kwanza kimepita sasa. Bado vinakuja vitisho vingine viwili.

Mlio wa Tarumbeta ya Sita

13 Malaika wa sita alipopuliza tarumbeta yake, nilisikia sauti ikitoka katika pembe[a] zilizo katika pembe[b] nne za madhabahu ya dhahabu iliyo mbele za Mungu. 14 Ikamwambia malaika wa sita aliyekuwa na tarumbeta, “Wafungue huru malaika wanne waliofungwa pembezoni mwa mto mkuu Frati.”

Read full chapter

Footnotes

  1. 9:13 pembe Kama za mnyama.
  2. 9:13 pembe Au “kona”.