Font Size
Waebrania 13:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 13:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
11 Nyama za hao wanyama ambao damu yao huletwa na kuhani mkuu katika Patakatifu pa Patakatifu kama dhabihu ya dhambi, huchomwa nje ya kambi. 12 Kwa hiyo Yesu naye aliteswa nje ya mlango wa mji ili awatakase watu kwa damu yake. 13 Kwa hiyo tum wendee nje ya kambi, tukashiriki aibu aliyostahimili.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica