Font Size
Waebrania 7:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 7:14-16
Neno: Bibilia Takatifu
14 Inafahamika wazi kuwa Bwana wetu alitoka katika kabila la Yuda, na Mose hakuwahi kusema lo lote juu ya makuhani kutoka katika kabila hilo. 15 Na hili tunalosema linakuwa wazi zaidi anapotokea kuhani mwingine kama Melkizedeki; 16 ambaye ukuhani wake hautokani na kanuni za ukoo wake, bali hutokana na uwezo wa maisha yasiyoharibika.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica