Add parallel Print Page Options

22 Hivyo hii inamaanisha kwamba Yesu ni uhakika wa agano zuri zaidi kutoka kwa Mungu kwa ajili ya watu wake.

23 Pia, mmoja wa hawa makuhani wengine alipofariki, asingeendelea kuwa kuhani. Hivyo walikuwepo makuhani wengi wa jinsi hii. 24 Lakini Yesu anaishi milele. Hatakoma kufanya kazi kama kuhani.

Read full chapter