Font Size
Warumi 14:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 14:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
20 Usiiharibu kazi ya Mungu kwa ajili ya chakula. Vyakula vyote vinafaa, lakini ni kosa kula kitu ambacho kinamfanya mwenzako kujikwaa. 21 Ni afadhali usile nyama wala kunywa divai au kufanya jambo lingine lo lote litakalomfanyandugu yako aanguke. 22 Unavyoamini kuhusu mambo haya, iwe ni siri yako na Mungu. Amebarikiwa mtu ambaye hajisikii kuhukumiwa afanyapo jambo analoamini kuwa ni sawa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica