Add parallel Print Page Options

12 Wote wamegeuka na kumwacha,
    na hawana manufaa kwa yeyote.
Hakuna atendaye mema,
    hakuna hata mmoja.”(A)
13 “Maneno yao ni ya hatari kama kaburi lililo wazi.
    Wanatumia ndimi zao kwa kusema uongo.”(B)
“Maneno yao ni kama sumu ya nyoka.”(C)
14     “Midomo yao imejaa maneno ya laana na hasira.”(D)

Read full chapter