Add parallel Print Page Options

13 “Maneno yao ni ya hatari kama kaburi lililo wazi.
    Wanatumia ndimi zao kwa kusema uongo.”(A)
“Maneno yao ni kama sumu ya nyoka.”(B)
14     “Midomo yao imejaa maneno ya laana na hasira.”(C)
15 “Nyakati zote wako tayari kuua mtu.

Read full chapter