Add parallel Print Page Options

17 Hawajui jinsi ya kuishi kwa amani.”(A)
18     “Hawamheshimu wala kumcha Mungu.”(B)

19 Tunajua ya kwamba, kile ambacho sheria inasema ni kwa ajili ya wale waliopewa sheria. Hii inamaanisha kuwa watu wote, Wayahudi na wasio Wayahudi, hawana udhuru kwa matendo yao. Hivyo ulimwengu wote unasimama mbele za Mungu na lazima ujibu kwake.

Read full chapter