Font Size
Warumi 3:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 3:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Wote Wametenda Dhambi
9 Tusemeje basi? Sisi Wayahudi tunayo nafuu yo yote? Hata kidogo! Kama tulivyokwisha kusema, Wayahudi na Wagiriki, wote wanatawaliwa na nguvu ya dhambi. 10 Kama Maandiko yase mavyo:“Hakuna hata mmoja mwenye haki; 11 hakuna hata mmoja mwe nye kuelewa, hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu. 1 2Wote wamepotoka na kwa pamoja hawana thamani yo yote; hakuna atendaye mema hata mmoja.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica