Font Size
Yakobo 1:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Yakobo 1:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
1 Kutoka kwa Yakobo, mtumishi wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo. Kwa makabila kumi na mawili yaliyotawanyika ulimwenguni. Salamu:
Imani Na Hekima
2 Ndugu wapendwa, mnapopatwa na majaribu mbalimbali, yahesab uni kuwa ni furaha tupu. 3 Kwa maana mnafahamu ya kuwa kujaribiwa kwa imani yenu hujenga ustahimilivu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica