Font Size
Yakobo 1:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Yakobo 1:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Mtu akijaribiwa asiseme, “Ninajaribiwa na Mungu,” kwa maana Mungu hajaribiwi na uovu na yeye hamjaribu mtu ye yote. 14 Lakini kila mtu hujaribiwa anapovutwa na kudanganywa na tamaa yake mwenyewe. 15 Kisha tamaa hiyo ikisha chukua mimba, huzaa dhambi; na dhambi ikisha komaa, huzaa mauti.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica