Font Size
Yakobo 1:23-25
Neno: Bibilia Takatifu
Yakobo 1:23-25
Neno: Bibilia Takatifu
23 Kwa maana kama mtu ni msi kilizaji tu wa neno na wala hatekelezi alilosikia, atafanana na mtu ajitazamaye uso wake katika kioo, 24 na baada ya kujiona alivyo, huenda zake na mara moja husahau anavyofanana. 25 Lakini mtu anayeangalia kwa makini katika sheria kamilifu, ile sheria iletayo uhuru, na akaendelea kufanya hivyo bila kusahau alichosi kia, bali akakitekeleza, atabarikiwa katika kile anachofanya.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica