Font Size
Yakobo 2:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Yakobo 2:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Onyo Kuhusu Upendeleo
2 Ndugu zangu wapendwa, msiwe na upendeleo mnapoishika imani ya Bwana wetu Yesu Kristo, Bwana wa utukufu. 2 Tuseme mtu mmoja aliyevaa pete ya dhahabu na nguo maridadi anakuja katika mkutano wenu; kisha fukara mmoja mwenye nguo chafu na mbovu akaingia pia. 3 Ikiwa utamshughulikia zaidi yule mtu aliyevaa nguo maridadi ukamwambia, “Keti hapa kwenye kiti kizuri,” lakini yule fukara ukamwambia, “Wewe simama pale,” au “Keti sakafuni, miguuni pangu,”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica