20 Wengi wao walisema, “Huyu amepagawa na shetani, kwa nini tuendelee kumsikiliza?” 21 Wengine wakasema, “Haya si maneno ya mtu aliyepagawa na shetani. Je, shetani anaweza kumpo nya kipofu?”

Yesu Anajitambulisha

22 Ilikuwa sikukuu ya Utakaso wa Hekalu wakati wa majira ya baridi,

Read full chapter