Font Size
Yohana 10:21-23
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 10:21-23
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
21 Lakini wengine wakasema, “Haya siyo maneno ya mtu anayeendeshwa na pepo mchafu. Pepo mchafu hawezi kuponya macho ya mtu asiyeona.”
Viongozi wa Kiyahudi Wasimama Kinyume na Yesu
22 Ulikuwa ni wakati wa baridi, na wakati wa Sikukuu ya Kuweka Wakfu[a] kule Yerusalemu. 23 Yesu alikuwa katika eneo la Hekalu katika Ukumbi wa Sulemani.
Read full chapterFootnotes
- 10:22 Sikukuu ya Kuweka Wakfu Hanukkah, au “Siku Kuu ya Mianga”, ni juma maalumu mwezi wa Disemba lililoadhimisha majira ya mwaka 165 KK wakati Hekalu la Yerusalem lilipotakaswa na kuwa tayari tena kwa ibada ya Wayahudi. Kabla ya hapo lilikuwa chini ya udhibiti wa jeshi la kigeni la Kiyunani na lilitumiwa kwa ibada za kipagani.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International