Font Size
Yohana 10:23-25
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 10:23-25
Neno: Bibilia Takatifu
23 na Yesu alikuwa akitembea ndani ya Hekalu katika ukumbi wa Sulemani. 24 Wayahudi wakamzunguka wakamwuliza, “Utatuweka katika hali ya mashaka mpaka lini? Kama wewe ndiye Kristo utuambie wazi wazi.” 25 Yesu akawajibu, “Nimewaambia lakini hamuamini. Mambo ninayoyatenda kwa jina la Baba yangu yan anishuhudia.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica