Font Size
Yohana 16:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 16:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
27 kwa maana Baba mwenyewe anawapenda kwa sababu mmenipenda mimi na mmeamini kwamba nimetoka kwa Baba. 28 Nilitoka kwa Baba na nimekuja ulimwenguni, tena sasa naondoka ulimwenguni na ninak wenda kwa Baba.” 29 Wanafunzi wake wakasema, “Sasa unazungumza wazi wazi wala si kwa mafumbo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica