Font Size
Yohana 17:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 17:2-4
Neno: Bibilia Takatifu
2 kwa kuwa umenipa mamlaka juu ya watu wote, niwape uzima wa milele wale ambao umewakabidhi kwangu. 3 Na huu ndio uzima wa milele: wakufahamu wewe ambaye pekee ni Mungu wa kweli, nakumfah amu Yesu Kristo ambaye umemtuma. 4 Baba nime kutukuza hapa duniani kwa kutimiza kazi uliyonipa niifanye.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica