Font Size
Yohana 17:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 17:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
21 Ninawaombea wote wawe kitu kimoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi ni ndani yako; ili na wao wawe ndani yetu na ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ulinituma. 22 Nimewapa utukufu ule ule ulionipa ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo - 23 mimi nikiwa ndani yao na wewe ndani yangu; ili wakamilike katika umoja na ulimwengu upate kujua ya kuwa umenituma na kwamba unawapenda kama unavyonipenda mimi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica