Font Size
Yohana 17:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 17:22-24
Neno: Bibilia Takatifu
22 Nimewapa utukufu ule ule ulionipa ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo - 23 mimi nikiwa ndani yao na wewe ndani yangu; ili wakamilike katika umoja na ulimwengu upate kujua ya kuwa umenituma na kwamba unawapenda kama unavyonipenda mimi. 24 Baba, shauku yangu ni kwamba, hawa watu ulionipa wawepo mahali nilipo ili waweze kuona utukufu wangu; utukufu ambao umenipa kwa kuwa ulinipenda hata kabla ulimwengu haujaumbwa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica