Font Size
Yohana 17:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 17:4-6
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
4 Mimi nimeimaliza kazi uliyonipa niifanye. Nami nimekupa utukufu duniani. 5 Sasa, Bwana, unipe utukufu wako niwe nao pamoja nawe, utukufu ule niliokuwa nao pamoja nawe kabla ya kuumbwa ulimwengu.
6 Wewe ulinipa baadhi ya wafuasi kutoka watu wa ulimwengu huu. Hao nimewaonesha jinsi wewe ulivyo. Walikuwa watu wako, lakini ukawakabidhi kwangu. Wao wameyashika mafundisho yako.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International