Font Size
Yohana 20:18-20
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 20:18-20
Neno: Bibilia Takatifu
18 Kwa hiyo Mariamu Magdalena akaenda akawakuta wanafunzi akawaambia, “Nimemwona Bwana!”
Yesu Anawatokea Wanafunzi Wake
19 Jumapili hiyo jioni, wakati wanafunzi walikuwa pamoja huku milango ikiwa imefungwa kwa kuwaogopa Wayahudi, Yesu aliwato kea! Akasimama kati yao akasema, “Amani iwe nanyi.” 20 Baada ya kusema haya, aliwaonyesha mikono yake na ubavu wake. Wanafunzi walifurahi sana walipomwona Bwana!
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica