Font Size
Yohana 20:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 20:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
27 Ndipo akamwambia Tomaso, “Weka kidole chako hapa; tazama mikono yangu halafu nyoosha mkono wako uguse ubavu wangu. Usiwe na mashaka bali uamini.” 28 Tomaso akasema, “Bwana wangu na Mungu wangu!” 29 Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica