Font Size
Yohana 20:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 20:28-30
Neno: Bibilia Takatifu
28 Tomaso akasema, “Bwana wangu na Mungu wangu!” 29 Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.”
30 Yesu alifanya ishara nyingine nyingi mbele za wanafunzi wake ambazo hazikuandikwa katika kitabu hiki.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica