Add parallel Print Page Options

Simoni Petro akasema, “Ninaenda kuvua samaki.”

Wafuasi wengine wakasema, “Sisi sote tutaenda pamoja nawe.” Hivyo wote wakatoka na kwenda kwenye mashua. Usiku ule walivua lakini hawakupata kitu.

Asubuhi na mapema siku iliyofuata Yesu akasimama ufukweni mwa bahari. Hata hivyo wafuasi wake hawakujua kuwa alikuwa ni yeye Yesu. Kisha akawauliza, “Rafiki zangu, mmepata samaki wo wote?”

Wao wakajibu, “Hapana.”

Read full chapter