Font Size
Yohana 4:2-4
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Yohana 4:2-4
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
2 (Lakini kwa hakika, Yesu mwenyewe hakumbatiza mtu yeyote huko; bali wafuasi wake ndiyo waliowabatiza watu kwa niaba yake.) 3 Hivyo akaondoka Uyahudi na kurudi Galilaya.
4 Barabara ya kuelekea Galilaya ilimpitisha Yesu katikati ya nchi ya Samaria.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International