Add parallel Print Page Options

Hivyo akaondoka Uyahudi na kurudi Galilaya.

Barabara ya kuelekea Galilaya ilimpitisha Yesu katikati ya nchi ya Samaria. Akiwa Samaria Yesu akafika katika mji wa Sikari, ulio karibu na shamba ambalo Yakobo alimpa mwanawe Yusufu.

Read full chapter