Font Size
Yohana 4:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 4:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
6 Kisima cha Yakobo kilikuwa hapo na kwa kuwa Yesu alikuwa amechoka kutokana na safari, aliketi karibu na hicho kisima. Ilikuwa yapata saa sita mchana.
7 Mama mmoja Msamaria akaja kuteka maji na Yesu akamwambia, “Naomba maji ya kunywa.” 8 Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica