Font Size
Yohana 4:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 4:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Wakati huo wanafunzi wake walikuwa wamekwenda mjini kununua chakula. 9 Yule mama akamjibu, “Wewe ni Myahudi na mimi ni Msamaria. Yawezekanaje uniombe nikupe maji ya kunywa?” -Wayahudi walikuwa hawashirikiani kabisa na Wasamaria. 10 Yesu akamjibu, “Kama ungelifahamu Mungu anataka kukupa nini, na mimi ninayekuomba maji ya kunywa ni nani, ungeliniomba nikupe maji ya uzima.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica