Add parallel Print Page Options

16 看見這事的,便將鬼附之人所遇見的和那群豬的事都告訴了眾人。 17 眾人就央求耶穌離開他們的境界。 18 耶穌上船的時候,那從前被鬼附著的人懇求和耶穌同在。

Read full chapter

16 Wale waliokuwa wameona hili waliwasimulia kile kilichomtokea mtu yule aliyekuwa amepagawa na mashetani na kuhusu nguruwe wale. 17 Nao wakamwomba Yesu aondoke katika eneo lile.

18 Wakati Yesu akipanda katika mtumbwi, mtu yule aliyekuwa amepagawa na mashetani alimwomba Yesu afuatane naye.

Read full chapter