Font Size
1 Petro 1:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 1:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
20 Yeye alichaguliwa kabla ya dunia kuumbwa lakini akadhihirishwa katika siku hizi za mwisho kwa ajili yenu. 21 Kwa ajili yake ninyi mnamwamini Mungu aliyemfufua kutoka kwa wafu akampa utukufu, na kwa hiyo imani yenu na matumaini yenu yako kwa Mungu.
22 Na sasa kwa kuwa mmekwisha kujitakasa kwa kuitii ile kweli na kuwapenda ndugu zenu kwa kweli, pendaneni kwa moyo wote.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica