Font Size
1 Petro 1:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 1:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
21 Kwa ajili yake ninyi mnamwamini Mungu aliyemfufua kutoka kwa wafu akampa utukufu, na kwa hiyo imani yenu na matumaini yenu yako kwa Mungu.
22 Na sasa kwa kuwa mmekwisha kujitakasa kwa kuitii ile kweli na kuwapenda ndugu zenu kwa kweli, pendaneni kwa moyo wote. 23 Maana mmezaliwa upya, si kwa mbegu iharibikayo, bali kwa mbegu isiyoharibika, kwa neno la Mungu lililo hai na linalodumu hata milele.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica