Font Size
1 Petro 2:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 2:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Muwe na mwenendo mwema kati ya watu wasiomjua Mungu, ili kama watawasema kuwa wakosaji, wayaone matendo yenu mema na wamtukuze Mungu siku ile atakapotujia.
Kuwatii Wenye Mamlaka
13 Jinyenyekezeni kwa ajili ya Bwana chini ya mamlaka yote ya wanadamu: ikiwa ni mfalme ambaye ana mamlaka ya mwisho; 14 au ikiwa ni wakuu wengine ambao amewateua kuwaadhibu wahalifu na kuwasifu watendao mema.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica