Font Size
1 Petro 2:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 2:15-17
Neno: Bibilia Takatifu
15 Kwa maana ni mapenzi ya Mungu kwamba kwa kutenda mema myazime maneno ya kijinga ya watu wapumbavu. 16 Ishini kama watu huru lakini msitumie uhuru wenu kama kisin gizio cha kutenda uovu; bali muishi kama watumishi wa Mungu. 17 Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu waamini. Mcheni Mungu. Mheshimuni mfalme.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica