Font Size
1 Petro 2:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 2:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
16 Ishini kama watu huru lakini msitumie uhuru wenu kama kisin gizio cha kutenda uovu; bali muishi kama watumishi wa Mungu. 17 Waheshimuni watu wote. Wapendeni ndugu waamini. Mcheni Mungu. Mheshimuni mfalme. 18 Ninyi watumwa, watiini mabwana wenu kwa heshima yote, si wale mabwana walio wapole na wema peke yao, bali hata wale walio wakali.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica