Add parallel Print Page Options

16 Muishi kama watu walio huru, lakini msiutumie uhuru huo kama udhuru wa kufanya maovu. Bali muishi kama watumishi wa Mungu. 17 Onesheni heshima kwa watu wote: Wapendeni ndugu zenu na dada zenu waliomo nyumbani mwake Mungu. Mcheni Mungu na mumheshimu mfalme.

Mfano wa Mateso ya Kristo

18 Watumwa mlio nyumbani, watumikieni mabwana wenu kwa heshima yote,[a] siyo tu wale walio wapole na wenye busara, bali hata wale walio wakali.

Read full chapter

Footnotes

  1. 2:18 kwa heshima yote Au “kwa heshima na taadhima kwa Mungu”.