Font Size
1 Petro 2:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Petro 2:3-5
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
3 kwa vile mmekwisha kuujaribu wema wa Bwana.
4 Mkaribieni Bwana Yesu, aliye Jiwe lililo Hai, lililokataliwa na watu, bali kwa Mungu ni jiwe lililoteuliwa na kuheshimika. 5 Ninyi pia, kama mawe yaliyo hai mnajengwa ili kuwa hekalu la kiroho. Mmekuwa makuhani watakatifu mkimtumikia Mungu kwa kutoa sadaka za kiroho zinazokubalika kwake kwa njia ya Yesu Kristo.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International