Font Size
1 Petro 2:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
1 Petro 2:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
6 Kwa maana imeandikwa katika Maandiko: “Tazama, ninaweka jiwe kuu la msingi huko Sayuni; jiwe la pembeni teule na la thamani kubwa, na kila amwaminiye hataaibika.” 7 Kwenu ninyi mnaoamini, yeye ni wa thamani kubwa. Lakini kwao wasioamini, “Lile jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la msingi,” 8 na, “Jiwe ambalo litawafanya watu wajik wae; mwamba ambao utawafanya waanguke.” Wanajikwaa kwa sababu hawatii lile neno, kama walivyopangiwa tangu mwanzo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica