Font Size
1 Timotheo 5:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 5:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Isitoshe, wajane kama hao wana tabia ya uvivu wakizurura nyumba kwa nyumba. Tena hawawi wavivu tu, bali pia huwa wasengenyaji, wajiingizao katika mambo yasiyowahusu na kusema mambo wasiyopaswa kusema.
4 Kwa hiyo napenda wajane vijana waolewe, wazae watoto na watunze nyumba zao, ili yule adui asipate nafasi ya kusema uovu juu yetu. 15 Kwa maana wajane wengine wamekwisha kupotoka na kumfuata she tani.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica