Font Size
1 Timotheo 5:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 5:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
16 Lakini kama mama mwamini anao ndugu ambao ni wajane, basi awatunze mwenyewe, kanisa lisibebe mzigo huo, ili liweze kuwat unza wale wajane ambao hawana msaada.
Wazee
17 Wazee wa kanisa wanaoongoza shughuli za kanisa vema wanastahili heshima mara mbili, hasa wale ambao kazi yao ni kuhu biri na kufundisha. 18 Maana Maandiko husema, “Ng’ombe apurapo nafaka usimfunge kinywa,” na tena, “Mfanyakazi anastahili msha hara wake.”
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica