Font Size
1 Timotheo 6:1-2
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
1 Timotheo 6:1-2
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Maagizo maalumu kwa Watumwa
6 Wote ambao ni watumwa waoneshe heshima kubwa kwa mabwana zao. Ndipo jina la Mungu na mafundisho yetu hayatakosolewa. 2 Baadhi ya watumwa wanao mabwana ambao ni waamini, hivyo hao ni ndugu. Je, inamaanisha wasiwaheshimu mabwana zao? Hapana, watawatumikia hata kwa uzuri zaidi, kwa sababu wanawasaidia waaminio, watu wawapende.
Haya ni mambo ambayo lazima uyafundishe na kumwambia kila mtu kufanya.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International