Font Size
1 Timotheo 6:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 6:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Watumwa
6 Watumwa wote wawahesabu mabwana zao kuwa wanastahili hesh ima zote, ili watu wasije wakalitukana jina la Mungu pamoja na mafundisho yetu. 2 Watumwa ambao mabwana zao ni waamini, wasikose kuwaheshimu kwa kuwa ni ndugu; bali watumike kwa ubora zaidi kwa sababu wale wanaonufaika kwa huduma yao ni waamini na ni wapendwa.
3 Fundisha na kuhimiza mambo haya. Mtu ye yote akifundisha kinyume cha haya na asikubaliane na maneno ya kweli ya Bwana wetu Yesu Kristo, na mafundisho yanayo ambatana na kumcha Mungu,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica