Font Size
1 Timotheo 6:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 6:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Mbele ya Mungu ambaye amevipa vitu vyote uhai, na mbele ya Kristo Yesu ambaye kwa ushuhuda wake mbele ya Pontio Pilato alikiri lile ungamo jema, 14 ninakuamuru utunze amri hii bila doa wala lawama mpaka Bwana wetu Yesu Kristo atakapokuja. 15 Jambo hili Mungu atalitimiza kwa wakati wake mwenyewe, Mungu Mbarikiwa ambaye peke yake ndiye Atawalaye, Mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica