Font Size
1 Timotheo 6:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 6:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
6 Bali kumcha Mungu na kuridhika ni faida kubwa. 7 Kwa maana hatukuja na kitu cho chote hapa duniani, wala hatuwezi kutoka na kitu. 8 Lakini kama tuna chakula na mavazi, basi tutaridhika.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica