Font Size
1 Timotheo 6:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 6:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Lakini kama tuna chakula na mavazi, basi tutaridhika. 9 Watu wanaotamani kuwa matajiri huanguka katika majaribu na mtego na katika tamaa nyingi mbaya na za kijinga, ambazo huwato komeza wanadamu katika upotevu na maangamizi. 10 Maana kupenda fedha ni chanzo cha uovu wote. Tamaa ya fedha imewafanya wengine watangetange mbali na imani na kuteseka kwa huzuni nyingi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica