Font Size
1 Timotheo 6:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
1 Timotheo 6:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
9 Watu wanaotamani kuwa matajiri huanguka katika majaribu na mtego na katika tamaa nyingi mbaya na za kijinga, ambazo huwato komeza wanadamu katika upotevu na maangamizi. 10 Maana kupenda fedha ni chanzo cha uovu wote. Tamaa ya fedha imewafanya wengine watangetange mbali na imani na kuteseka kwa huzuni nyingi.
Mawaidha Ya Paulo Kwa Timotheo
11 Lakini wewe mtu wa Mungu, epuka haya yote. Tafuta kupata haki, utauwa, imani, upendo, subira na upole.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica