Font Size
1 Wakorintho 12:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
1 Wakorintho 12:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
27 Basi ninyi ni mwili wa Kristo, na kila mmoja wenu ni kiungo cha huo mwili. 28 Na Mungu ameteua katika kanisa, kwanza mitume, pili manabii, tatu walimu, kisha watenda miujiza, kisha waponyaji, wasaidizi, watawala, wasemaji wa lugha mbalimbali. 29 Je, wote ni mitume? Au wote ni manabii? Wote ni walimu? Wote wanafanya miujiza?
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica